Judi Bari | |
---|---|
Amezaliwa | Judith Beatrice Bari Novemba 7, 1949 |
Utaifa | American |
Watoto | 2, including Lisa Bari |
Ndugu | Gina Kolata (sister) |
Judith Beatrice Bari (Novemba 7, 1949 - Machi 2, 1997) alikuwa mwanamazingira na mratibu mkuu wa kampeni ya Earth First! dhidi ya ukataji wa miti katika misitu ya kale ya kaskazini mwa California katika miaka ya 1980 na 1990.